Rais Dkt.Mwinyi awaapisha wajumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti na Uchumi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Tausi Mbaga Kida kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Zanzibar,katikati ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi , Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar,hafla hiyo imefanyika leo ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Zanzibar,katikati ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi,Mhandisi Zena Ahmed Said.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Waziri wa Fedha na Mipamgo, Mhe.Sada Mkuya Salum kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Zanzibar, hafla iliyofanyika leo ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Zanzibar, katikati ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi,Mhandisi Zena Ahmed Said.

Post a Comment

0 Comments