Spika Dkt.Tulia ateta na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani


Spika wa Bunge Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Martin Chungong wakati wa Mkutano wa 65 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Halifax, Nova Scotia Nchini Canada.

Post a Comment

0 Comments