Waziri Prof.Mbarawa ateta na ujumbe kutoka Ubalozi wa India

NA MWANDISHI WETU

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amekutana na kufanya mazungumzo na ugeni kutoka Ubalozi wa India nchini Tanzania ukiongozwa na Balozi Binaya S Pradhan, alipomtembelea katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam leo.

Katika kikao hicho wamefanya majadiliano mbalimbali kuhusu uboreshaji wa miundomninu ya reli.

Post a Comment

0 Comments