BALOZI SOKOINE AKABIDHI ZAWADI YA PICHA KWA MKUU WA IDARA YA UHAMIAJI- SAUDI ARABIA


Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akimkabidhi zawadi ya picha Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Ufalme wa Saudi Arabia, Meja Jenerali Sulaiman bin Abdul Aziz Al-Yahya jana jioni katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments