Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji atakuwa na mkutano na wanahabari kesho


TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Balozi Jestas A. Nyamanga atazungumza mubashara na vyombo mbalimbali vya habari vya Tanzania kupitia mtandao wa Zoom siku ya Jumatano, Septemba 21, 2022, saa 5 kamili asubuhi kwa Saa za Tanzania, moja kwa moja kutokea jijini Brussels - Ubelgiji.

Jinsi ya Kushiriki:

Bofya ~ https://bit.ly/3Bws5qz

Au tumia
Meeting ID: 828 7457 2432
Passcode: 435906

NB: Muda wa kujiunga na mkutano ni saa 10:45 am. Tuzingatie MUDA.

Waandishi wa habari wote mnakaribishwa.

Mawasiliano: +255734052138

Post a Comment

0 Comments