Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 20,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.93 na kuuzwa kwa shilingi 631.12 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.29 na kuuzwa kwa shilingi 148.59.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 20, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.78 na kuuzwa kwa shilingi 29.07 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.06 na kuuzwa kwa shilingi 19.22.


Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.003 na kuuzwa kwa shilingi 16.16 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 327.43 na kuuzwa kwa shilingi 330.60.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 212.50 na kuuzwa kwa shilingi 214.57 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 129.41 na kuuzwa kwa shilingi 130.67.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2295.29 na kuuzwa kwa shilingi 2318.25 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7429.35 na kuuzwa kwa shilingi 7501.21.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.10 na kuuzwa kwa shilingi 9.66.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2293.92 na kuuzwa kwa shilingi 2317.09.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2612.28 na kuuzwa kwa shilingi 2639.33 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.16 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 20th, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.9277 631.1254 628.0266 20-Sep-22
2 ATS 147.2893 148.5943 147.9418 20-Sep-22
3 AUD 1534.4061 1550.2138 1542.3099 20-Sep-22
4 BEF 50.2418 50.6865 50.4642 20-Sep-22
5 BIF 2.1976 2.2142 2.2059 20-Sep-22
6 BWP 174.4426 176.6507 175.5466 20-Sep-22
7 CAD 1724.7498 1741.4739 1733.1118 20-Sep-22
8 CHF 2375.592 2398.3551 2386.9735 20-Sep-22
9 CNY 327.4271 330.6024 329.0148 20-Sep-22
10 CUC 38.3209 43.5598 40.9403 20-Sep-22
11 DEM 919.7007 1045.434 982.5674 20-Sep-22
12 DKK 308.4911 311.5341 310.0126 20-Sep-22
13 DZD 16.3887 16.4101 16.3994 20-Sep-22
14 ESP 12.1812 12.2886 12.2349 20-Sep-22
15 EUR 2293.9199 2317.0909 2305.5054 20-Sep-22
16 FIM 340.8722 343.8928 342.3825 20-Sep-22
17 FRF 308.9769 311.7101 310.3435 20-Sep-22
18 GBP 2612.2775 2639.3276 2625.8026 20-Sep-22
19 HKD 292.4169 295.3373 293.8771 20-Sep-22
20 INR 28.7844 29.0668 28.9256 20-Sep-22
21 ITL 1.0467 1.056 1.0514 20-Sep-22
22 JPY 16.004 16.1607 16.0824 20-Sep-22
23 KES 19.0639 19.2226 19.1433 20-Sep-22
24 KRW 1.6479 1.6632 1.6556 20-Sep-22
25 KWD 7429.3479 7501.2134 7465.2806 20-Sep-22
26 MWK 2.0773 2.2372 2.1572 20-Sep-22
27 MYR 504.6827 509.2816 506.9822 20-Sep-22
28 MZM 35.3667 35.6654 35.516 20-Sep-22
29 NAD 97.1635 98.0781 97.6208 20-Sep-22
30 NLG 919.7007 927.8567 923.7787 20-Sep-22
31 NOK 223.0089 225.1734 224.0912 20-Sep-22
32 NZD 1365.0131 1379.1269 1372.07 20-Sep-22
33 PKR 9.1045 9.6594 9.3819 20-Sep-22
34 QAR 717.6587 718.869 718.2638 20-Sep-22
35 RWF 2.1654 2.1985 2.1819 20-Sep-22
36 SAR 610.6137 616.3919 613.5028 20-Sep-22
37 SDR 2970.5046 3000.2096 2985.3571 20-Sep-22
38 SEK 212.5039 214.5693 213.5366 20-Sep-22
39 SGD 1629.1412 1644.8489 1636.995 20-Sep-22
40 TRY 125.52 126.7059 126.113 20-Sep-22
41 UGX 0.5776 0.6061 0.5918 20-Sep-22
42 USD 2295.297 2318.25 2306.7735 20-Sep-22
43 GOLD 3822174.5198 3861578.5725 3841876.5462 20-Sep-22
44 ZAR 129.4131 130.6675 130.0403 20-Sep-22
45 ZMK 145.43 147.8947 146.6624 20-Sep-22
46 ZWD 0.4295 0.4382 0.4339 20-Sep-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news