🔴LIVE:Hizi hapa faida za ziara ya Rais Samia nchini Msumbiji

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano huu muhimu na maalum unaofanyika leo Jumatatu ya Septemba 26, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.

Mada:Mjadala wa Kitaifa juu ya Faida za Ziara ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan nchini Msumbiji.

Unaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya shorturl.at/eIQR2

Au kupitia
Meeting ID: 822 6760 9454
Passcode: 673330

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel Tanzania.

Post a Comment

0 Comments