Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 26,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.60 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.07 na kuuzwa kwa shilingi 16.22 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 322.44 na kuuzwa kwa shilingi 325.49.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 204.58 na kuuzwa kwa shilingi 206.57 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.52 na kuuzwa kwa shilingi 129.77.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.26 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.13 na kuuzwa kwa shilingi 9.68.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 26, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2541.55 na kuuzwa kwa shilingi 2567.89 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.16 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2295.68 na kuuzwa kwa shilingi 2318.64 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7415.71 na kuuzwa kwa shilingi 7471.05.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.30 na kuuzwa kwa shilingi 28.58 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.05 na kuuzwa kwa shilingi 19.21.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.08 na kuuzwa kwa shilingi 631.16 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.31 na kuuzwa kwa shilingi 148.62.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2239.21 na kuuzwa kwa shilingi 2262.53.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 26th, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.0839 631.1629 628.1234 26-Sep-22
2 ATS 147.314 148.6193 147.9667 26-Sep-22
3 AUD 1510.33 1525.897 1518.1135 26-Sep-22
4 BEF 50.2503 50.6951 50.4727 26-Sep-22
5 BIF 2.198 2.2146 2.2063 26-Sep-22
6 BWP 172.8649 175.0573 173.9611 26-Sep-22
7 CAD 1697.3628 1714.2097 1705.7862 26-Sep-22
8 CHF 2345.6454 2368.134 2356.8897 26-Sep-22
9 CNY 322.4365 325.4871 323.9618 26-Sep-22
10 CUC 38.3273 43.5671 40.9472 26-Sep-22
11 DEM 919.8554 1045.6099 982.7327 26-Sep-22
12 DKK 301.1838 304.1677 302.6758 26-Sep-22
13 DZD 15.961 16.0597 16.0104 26-Sep-22
14 ESP 12.1832 12.2907 12.237 26-Sep-22
15 EUR 2239.2094 2262.5289 2250.8691 26-Sep-22
16 FIM 340.9295 343.9506 342.4401 26-Sep-22
17 FRF 309.0289 311.7625 310.3957 26-Sep-22
18 GBP 2541.5508 2567.8938 2554.7223 26-Sep-22
19 HKD 292.4512 295.3719 293.9115 26-Sep-22
20 INR 28.3012 28.579 28.4401 26-Sep-22
21 ITL 1.0469 1.0562 1.0515 26-Sep-22
22 JPY 16.0661 16.2256 16.1458 26-Sep-22
23 KES 19.0671 19.2259 19.1465 26-Sep-22
24 KRW 1.62 1.635 1.6275 26-Sep-22
25 KWD 7415.7159 7471.0488 7443.3824 26-Sep-22
26 MWK 2.0868 2.2575 2.1721 26-Sep-22
27 MYR 501.5694 506.2533 503.9113 26-Sep-22
28 MZM 35.3726 35.6714 35.522 26-Sep-22
29 NAD 95.0584 95.9213 95.4899 26-Sep-22
30 NLG 919.8554 928.0128 923.9341 26-Sep-22
31 NOK 218.8387 220.9281 219.8834 26-Sep-22
32 NZD 1330.3484 1344.5793 1337.4639 26-Sep-22
33 PKR 9.1343 9.6804 9.4073 26-Sep-22
34 QAR 698.2283 697.6266 697.9274 26-Sep-22
35 RWF 2.1657 2.1961 2.1809 26-Sep-22
36 SAR 610.2294 616.168 613.1987 26-Sep-22
37 SDR 2957.1154 2986.6866 2971.901 26-Sep-22
38 SEK 204.579 206.5696 205.5743 26-Sep-22
39 SGD 1611.4581 1627.0016 1619.2298 26-Sep-22
40 TRY 124.7071 125.9022 125.3046 26-Sep-22
41 UGX 0.5765 0.6049 0.5907 26-Sep-22
42 USD 2295.6832 2318.64 2307.1616 26-Sep-22
43 GOLD 3778143.7607 3818838.8013 3798491.281 26-Sep-22
44 ZAR 128.5233 129.7678 129.1456 26-Sep-22
45 ZMK 141.0804 142.1432 141.6118 26-Sep-22
46 ZWD 0.4296 0.4383 0.4339 26-Sep-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news