Mzee wa Upako kuzungumza na wanahabari kanisani kwake


Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo, maarufu Mzee wa Upako kesho Septemba 24, 2022 atazungumza na waandishi wa habari kanisani kwake Ubungo Kibangu jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments