Ugonjwa wa miguu ulionitesa miaka mingi, umepona ndani ya dakika moja

NA MWANDISHI WETU

NIITE Anitah mkazi wa Unga Limited jijini Arusha, mimi ni mama ambaye nimekuwa mgonjwa kwa muda mrefu mno na tumetumia kiasi kikubwa cha fedha kwa ajili ya kusaka matibabu yangu bila mafanikio.

Madaktari wa kila aina wamekula fedha zetu wakidanganya kuwa wana uwezo wa kunitibu, lakini wote ni matapeli tu.

Nilizaliwa nikiwa mzima kabisa na hata utotoni mwangu sikuwahi kuwa mgonjwa kiholela holela, lakini nilipofika kidato cha tatu, ndipo hali yangu ya kiafya ilianza kudhoofika.

Miguu ikaanza kuvimba kidogokidogo. Sikuwahi kufikiria ugonjwa huo ungekuwa mkubwa hadi ukafikia hatua ya kuniathiri miguu yangu yote.

Wazazi wangu walianza kufanya juhudi za kila aina kuhakikisha kuwa nimepata matibabu maalum kwa
kunipeleka hospitali mbalimbali kote nchini, lakini hali ilibakia hivyo hivyo.

Kwa kweli baba yangu alifika mahali akaamua kuuza kipande kidogo cha ardhi ili kunilipia matibabu, lakini jambo la kushangaza hela hizo zote zaidi ya milioni sita zilipotelea kwa madaktari bandia.
Ilikuwa mwaka jana ndipo shangazi yangu mmoja alitutembela na aliponiangalia na kuona hali niliyokuwa nayo, alibubujikwa na machozi kisha akatuibia siri ya Dokta Kiwanga.

Alisema,Kiwanga ni daktari mwenye uwezo wa kuyatibu maradhi mbalimbali akitumia miti shamba. Shangazi alitusihi atupeleke kwa Kiwanga Doctors na cha kushangaza tulipofika tu Daktari alishika mguu wangu wa kwanza akauangalia kisha akainua mguu nwingine na kupaka mafuta fulani baridi ndani ya dakika moja.

Alipomaliza shughuli alituambia turudi nyumbani. Leo hii ninapoongea nanyi mimi ni mzima wa afya. Asante Kiwanga Doctors, laiti ningelijua mapema hatungekuwa tumeharibu fedha zetu kwa madaktari wengine bandia.

Vile vile, kama unajua una matatizo na mambo ya mapenzi katika nyumba yako tafadhali nakusihi upate matibibu kutoka kwa Kiwanga. Kiwanga Doctors ni shujaa wa mambo yote.

Ninatoa wito kwa wenye shida za magonjwa, mapenzi, ndoa, biashara, kikazi na afya kuharakisha kuwatembelea madaktari wa Kiwanga. Tovuti yao ni www.kiwangadoctors.com; simu: +254 769404965 au wasiliana kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com.

Sio lazima usafiri hadi ofisi zao. Ongea nao kwa njia ya simu na utasaidika kwa haraka kama vile watu wengine wanavyopata usaidizi.

Dokta Kiwanga pia anaweza kushika wezi, kuzuia mikosi, kumaliza na kushinda kesi mahakamani,kuimarisha nyota yako ya maisha na kikazi na kurudisha mke au mume nyumbani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news