Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 2,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 213.94 na kuuzwa kwa shilingi 216.01 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 133.87 na kuuzwa kwa shilingi 135.18.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 2, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 28.83 na kuuzwa kwa shilingi 29.09 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.11 na kuuzwa kwa shilingi 19.27.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2296.62 na kuuzwa kwa shilingi 2320.05.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2653.55 na kuuzwa kwa shilingi 2681.01 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.26.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.48 na kuuzwa kwa shilingi 16.64 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 332.48 na kuuzwa kwa shilingi 335.74.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.54 na kuuzwa kwa shilingi 630.73 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.19 na kuuzwa kwa shilingi 148.50.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.21 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.02 na kuuzwa kwa shilingi 10.60.

Aidha, Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2293.87 na kuuzwa kwa shilingi 2316.81 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7447.39 na kuuzwa kwa shilingi 7511.62.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 2nd, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 624.5395 630.7334 627.6365 02-Sep-22
2 ATS 147.1978 148.502 147.8499 02-Sep-22
3 AUD 1564.879 1581.6862 1573.2826 02-Sep-22
4 BEF 50.2106 50.655 50.4328 02-Sep-22
5 BIF 2.1963 2.2128 2.2045 02-Sep-22
6 BWP 177.5456 180.7112 179.1284 02-Sep-22
7 CAD 1743.0633 1759.8253 1751.4443 02-Sep-22
8 CHF 2344.7524 2367.232 2355.9922 02-Sep-22
9 CNY 332.4837 335.7452 334.1144 02-Sep-22
10 CUC 38.2971 43.5327 40.9149 02-Sep-22
11 DEM 919.1294 1044.7847 981.957 02-Sep-22
12 DKK 308.8807 311.9401 310.4104 02-Sep-22
13 DZD 16.3904 16.4368 16.4136 02-Sep-22
14 ESP 12.1736 12.281 12.2273 02-Sep-22
15 EUR 2296.6239 2320.0535 2308.3387 02-Sep-22
16 FIM 340.6605 343.6792 342.1698 02-Sep-22
17 FRF 308.785 311.5164 310.1507 02-Sep-22
18 GBP 2653.5503 2681.0125 2667.2814 02-Sep-22
19 HKD 292.2948 295.2065 293.7507 02-Sep-22
20 INR 28.8305 29.0987 28.9646 02-Sep-22
21 ITL 1.0461 1.0553 1.0507 02-Sep-22
22 JPY 16.4766 16.6378 16.5572 02-Sep-22
23 KES 19.1156 19.2746 19.1951 02-Sep-22
24 KRW 1.6937 1.7101 1.7019 02-Sep-22
25 KWD 7447.3923 7511.6234 7479.5078 02-Sep-22
26 MWK 2.0771 2.2149 2.146 02-Sep-22
27 MYR 512.1392 516.799 514.4691 02-Sep-22
28 MZM 35.3447 35.6432 35.494 02-Sep-22
29 NAD 101.8329 102.658 102.2454 02-Sep-22
30 NLG 919.1294 927.2804 923.2049 02-Sep-22
31 NOK 229.0001 231.2139 230.107 02-Sep-22
32 NZD 1399.0321 1413.9491 1406.4906 02-Sep-22
33 PKR 10.0187 10.6032 10.311 02-Sep-22
34 QAR 728.9973 728.259 728.6281 02-Sep-22
35 RWF 2.1951 2.2632 2.2291 02-Sep-22
36 SAR 610.5593 616.4188 613.489 02-Sep-22
37 SDR 2985.1065 3014.9575 3000.032 02-Sep-22
38 SEK 213.9366 216.0156 214.9761 02-Sep-22
39 SGD 1640.0024 1655.8105 1647.9064 02-Sep-22
40 TRY 126.0923 127.3091 126.7007 02-Sep-22
41 UGX 0.5793 0.6075 0.5934 02-Sep-22
42 USD 2293.8713 2316.81 2305.3406 02-Sep-22
43 GOLD 3900957.5109 3943905.663 3922431.5869 02-Sep-22
44 ZAR 133.8736 135.1816 134.5276 02-Sep-22
45 ZMK 149.4035 150.4422 149.9228 02-Sep-22
46 ZWD 0.4293 0.4379 0.4336 02-Sep-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news