Zoran Manojlovic Maki asaini kandarasi Itthad Alex SC


Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba SC ya jijini Dar es Salaam, Zoran Manojlovic Maki ameingia kandarasi na Klabu ya Itthad Alex SC ya jijini Alexandria, Misri. Hivi karibuni uongozi wa Simba SC uliachana na kocha huyo kabla ya kukamilisha kandarasi ya mwaka mmoja baada ya pande zote mbili kukubaliana kuvunja mkataba.

Post a Comment

0 Comments