Jihadhari Saidi Mwinshehe hana mpinzani SHIMIWI

NA MWANDISHI WETU

MCHEZAJI Jihadhari Mwinshehe maarufu kama Shekhe wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera amedhihirisha hana mpinzani katika mchezo wa draft kwenye mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI).
Ni baada ya kutokufungwa mchezo wowote kuanzia hatua ya makundi hadi kutwaa ubingwa kwa upande wa Wanaume uliofanyika katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi jijini Tanga.

Post a Comment

0 Comments