Licha ya kutoa matumaini kwa Yanga, Kocha Nabi huenda ndiyo kwaheri


"Tunafahamu kuwa ratiba yetu ni ngumu, tunafanya kila jitihada kuendana na uhalisia unaotukabili kwa sasa. Tuna mechi ngumu mbele yetu na huo ndio ukweli ambao tunapaswa kupambana nao. Sio suala la nani atacheza ni suala la alama tatu,"amesema Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi.

Hata hivyo, taarifa za awali zinadokeza kuwa, Yanga SC imeamua kuachana na Kocha Nabi kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo kwa maana ya uwajibikaji wa wachezaji ikiwemo kushindwa kufuzu hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. TUTAKUJUZA TAARIFA ZAIDI PUNDE

Post a Comment

0 Comments