Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alifanya kazi kubwa sana ya kuiletea amani Jamhuri ya Uganda, kutokana na mchango huo, Waganda na hata Serikali kupitia uongozi wa Rais Yoweri Kaguta Museveni imeendelea kuenzi historia na kutoa heshima kubwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. Pichani ni Rais wa Uganda, Museveni akitia saini katika moja ya picha za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa Uzinduzi wa Kituo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere hivi karibuni. (PICHA YA HISANI MTANDAO).
0 Comments