Magazeti leo Machi 9,2026

Hayo yamesemwa mwishoni mwa wiki na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Muyungi wakati akihutubia katika tukio la iftar maalum aliyoiandaa kwa wadau wa mazingira na kufanyika katika Chuo cha Mazingira, Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo Endelevu kilichopo Bunju jijini Dar es Salaam.
Amesema kamati hiyo imeiteua Tanzania kuwa mjumbe wa kudumu kupitia mkutano wa 39 wa Wakuu wa Nchi na Serikali Barani Afrika uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia tarehe 14-15 Februari, 2026 na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ameeleza kuwa kituo hicho kitawasaidia Watanzania hususani vijana kuweza kujifunza fursa mbalimbali zilizopo katika sekta ya mazingira na kuongeza kupanua wigo wa ushiriki wa Tanzania katika mijadala mbalimbali ya kimataifa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here