Rais Samia akagua jengo la Makumbusho ya Hayati Dkt.Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua jengo la Makumbusho la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Dkt.Magufuli alifariki dunia Machi 17, 2021katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es salaam baada ya kuugua na kuzikwa Machi 26, 2021 nyumbani kwake Chato mkoani Geita.

Post a Comment

0 Comments