Rais Samia ateta na Katibu Mkuu Mtendaji wa UN Women


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu Mkuu Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake (UN Women), Bi. Sima Sami Ikulu jijini Dar es Salaam leo 10 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Mkuu Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake (UN Women) Bi. Sima Sami mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Oktoba, 2022. (Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news