Rais Dkt.Mwinyi akabidhiwa Ripoti ya Maoni ya Wadau wa Demokrasia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar,na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi , Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo iliyofanyika leo Oktoba 10,2022, katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.(Picha zote na Ikulu).
Wajumbe wa Kamati Maalum ya (Kikosi Kazi) Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza wakati wa kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo na wa kwanza ni Mwenyekiti wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ), Dkt.Ali Uki na Makamu Mwenyekiti, Mhe.Balozi Amina Salum Ali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi) wakati wa kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Zanzibar, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo.
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said na Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Mhe.Jaji Francis Mutungi na viongozi wengine wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa Ripoti ya Kuchambua Maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo.
Wajumbe wa Kamati Maalum (Kikosi Kazi ) ya Kuchambua maoni ya Washiriki wa Mkutano wa Wadau wa Demokrasia ya Vyama vya Siasa Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza kabla ya kukabidiwa Ripoti ya Maoni ya Wadau, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar leo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news