Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 12,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.70 na kuuzwa kwa shilingi 2319.67 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7403.23 na kuuzwa kwa shilingi 7474.85.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 12, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.60 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.78 na kuuzwa kwa shilingi 15.93 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 320.63 na kuuzwa kwa shilingi 323.64.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2548.65 na kuuzwa kwa shilingi 2575.06 huku Franka ya Rwanda (RWF) inanunuliwa kwa shilingi 2.15 na kuuzwa kwa shilingi 2.19.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.31 na kuuzwa kwa shilingi 631.53 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.38 na kuuzwa kwa shilingi 148.68.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2233.31 na kuuzwa kwa shilingi 2256.57.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 203.05 na kuuzwa kwa shilingi 205.02 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 126.89 na kuuzwa kwa shilingi 128.06.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.05 na kuuzwa kwa shilingi 10.66.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.94 na kuuzwa kwa shilingi 28.20 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.01 na kuuzwa kwa shilingi 19.17.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 12th, 2022 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3105 631.5292 628.4199 12-Oct-22
2 ATS 147.3795 148.6854 148.0324 12-Oct-22
3 AUD 1446.6932 1461.3921 1454.0427 12-Oct-22
4 BEF 50.2726 50.7176 50.4951 12-Oct-22
5 BIF 2.199 2.2155 2.2073 12-Oct-22
6 BWP 171.334 173.5113 172.4227 12-Oct-22
7 CAD 1666.693 1682.8714 1674.7822 12-Oct-22
8 CHF 2308.2442 2330.3898 2319.317 12-Oct-22
9 CNY 320.6342 323.6373 322.1357 12-Oct-22
10 CUC 38.3443 43.5864 40.9654 12-Oct-22
11 DEM 920.264 1046.0744 983.1692 12-Oct-22
12 DKK 300.305 303.2684 301.7867 12-Oct-22
13 DZD 15.9313 16.0298 15.9805 12-Oct-22
14 ESP 12.1886 12.2962 12.2424 12-Oct-22
15 EUR 2233.314 2256.575 2244.9445 12-Oct-22
16 FIM 341.081 344.1034 342.5922 12-Oct-22
17 FRF 309.1662 311.901 310.5336 12-Oct-22
18 GBP 2548.6513 2575.0657 2561.8585 12-Oct-22
19 HKD 292.5774 295.4994 294.0384 12-Oct-22
20 INR 27.9414 28.202 28.0717 12-Oct-22
21 ITL 1.0474 1.0566 1.052 12-Oct-22
22 JPY 15.7784 15.9329 15.8556 12-Oct-22
23 KES 19.0124 19.1708 19.0916 12-Oct-22
24 KRW 1.6035 1.6191 1.6113 12-Oct-22
25 KWD 7403.2265 7474.8494 7439.0379 12-Oct-22
26 MWK 2.0818 2.2497 2.1657 12-Oct-22
27 MYR 491.6941 496.1861 493.9401 12-Oct-22
28 MZM 35.3883 35.6872 35.5378 12-Oct-22
29 NAD 92.0876 92.9045 92.496 12-Oct-22
30 NLG 920.264 928.4251 924.3445 12-Oct-22
31 NOK 214.2347 216.2983 215.2665 12-Oct-22
32 NZD 1289.5987 1302.9586 1296.2787 12-Oct-22
33 PKR 10.0533 10.6642 10.3587 12-Oct-22
34 QAR 700.1789 702.0354 701.1071 12-Oct-22
35 RWF 2.1465 2.1879 2.1672 12-Oct-22
36 SAR 611.3944 617.1797 614.2871 12-Oct-22
37 SDR 2945.5675 2975.0232 2960.2953 12-Oct-22
38 SEK 203.0486 205.0247 204.0366 12-Oct-22
39 SGD 1599.5981 1615.0317 1607.3149 12-Oct-22
40 TRY 123.5976 124.8148 124.2062 12-Oct-22
41 UGX 0.5763 0.6047 0.5905 12-Oct-22
42 USD 2296.703 2319.67 2308.1865 12-Oct-22
43 GOLD 3838456.7072 3878256.273 3858356.4901 12-Oct-22
44 ZAR 126.8946 128.0574 127.476 12-Oct-22
45 ZMK 140.8219 146.3514 143.5866 12-Oct-22
46 ZWD 0.4298 0.4385 0.4341 12-Oct-22

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news