Waziri Prof.Mbarawa akagua ujenzi wa jengo la abiria Uwanja wa Ndege SongweWaziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof.Makame Mbarawa mekagua hatua za maendeleo ya ujenzi wa jengo la abiria katika Uwanja wa Ndege Songwe, mkoani Mbeya. Ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 68 ambapo litakapokamilika linatarajiwa kuhudumia abiria 600 kwa wakati mmoja.

Post a Comment

0 Comments