Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 19,2022

NA GODFREY NNKO

LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 15.41 na kuuzwa kwa shilingi 15.57 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 319.15 na kuuzwa kwa shilingi 322.19.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Oktoba 19, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2601.77 na kuuzwa kwa shilingi 2628.72 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.15 na kuuzwa kwa shilingi 2.18.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2296.76 na kuuzwa kwa shilingi 2319.73 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7408.43 na kuuzwa kwa shilingi 7480.10.

Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 27.93 na kuuzwa kwa shilingi 28.20 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.97 na kuuzwa kwa shilingi 19.13.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 207.44 na kuuzwa kwa shilingi 209.46 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 127.37 na kuuzwa kwa shilingi 128.61.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.33 na kuuzwa kwa shilingi 631.54 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.38 na kuuzwa kwa shilingi 148.69.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.22 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 9.96 na kuuzwa kwa shilingi 10.54.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2262.31 na kuuzwa kwa shilingi 2285.17.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today October 19th, 2022 according to Central Bank (BoT);

S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.3267 631.5455 628.4361 19-Oct-22
2 ATS 147.3833 148.6893 148.0363 19-Oct-22
3 AUD 1454.5396 1469.549 1462.0443 19-Oct-22
4 BEF 50.2739 50.7189 50.4964 19-Oct-22
5 BIF 2.199 2.2156 2.2073 19-Oct-22
6 CAD 1675.9796 1692.2454 1684.1125 19-Oct-22
7 CHF 2311.0911 2333.2629 2322.177 19-Oct-22
8 CNY 319.15 322.1892 320.6696 19-Oct-22
9 DEM 920.2879 1046.1015 983.1947 19-Oct-22
10 DKK 304.1626 307.1636 305.6631 19-Oct-22
11 ESP 12.1889 12.2965 12.2427 19-Oct-22
12 EUR 2262.311 2285.166 2273.7385 19-Oct-22
13 FIM 341.0898 344.1124 342.6011 19-Oct-22
14 FRF 309.1742 311.909 310.5416 19-Oct-22
15 GBP 2601.7724 2628.718 2615.2452 19-Oct-22
16 HKD 292.5924 295.5146 294.0535 19-Oct-22
17 INR 27.9282 28.2024 28.0653 19-Oct-22
18 ITL 1.0474 1.0567 1.052 19-Oct-22
19 JPY 15.4156 15.5666 15.4911 19-Oct-22
20 KES 18.9737 19.1318 19.0527 19-Oct-22
21 KRW 1.6142 1.6298 1.622 19-Oct-22
22 KWD 7408.4329 7480.1045 7444.2687 19-Oct-22
23 MWK 2.0818 2.2198 2.1508 19-Oct-22
24 MYR 487.2216 491.6766 489.4491 19-Oct-22
25 MZM 35.3892 35.6882 35.5387 19-Oct-22
26 NLG 920.2879 928.4491 924.3685 19-Oct-22
27 NOK 218.658 220.7438 219.7009 19-Oct-22
28 NZD 1312.1404 1326.1896 1319.165 19-Oct-22
29 PKR 9.9617 10.5423 10.252 19-Oct-22
30 RWF 2.1465 2.1821 2.1643 19-Oct-22
31 SAR 611.4915 617.4421 614.4668 19-Oct-22
32 SDR 2932.0009 2961.3209 2946.6609 19-Oct-22
33 SEK 207.4425 209.4602 208.4514 19-Oct-22
34 SGD 1619.2628 1634.8792 1627.071 19-Oct-22
35 UGX 0.5777 0.6061 0.5919 19-Oct-22
36 USD 2296.7624 2319.73 2308.2462 19-Oct-22
37 GOLD 3803025.0779 3842238.3909 3822631.7344 19-Oct-22
38 ZAR 127.3743 128.6067 127.9905 19-Oct-22
39 ZMW 140.161 143.8681 142.0146 19-Oct-22
40 ZWD 0.4298 0.4384 0.4341 19-Oct-22







Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news