Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) bungeni jijini Dodoma leo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. George Simbachawene (kushoto) pamoja na Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. David Silinde (kulia) wakitoka nje ya Ukumbi wa bunge tarehe 10 Novemba, 2022 jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akiwa pamoja na mwanafunzi wa Chuo kishirikishi cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) Bi. Chrisanta Gervas nje ya ukumbi wa Bunge Dodoma Novemba 10, 2022.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akisalimiana na Mbunge viti maalum Mhe. Shally Raymond katika viwanja vya Bunge Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa Jimbo la Mchinga Mhe. Salma Kikwete mara baada ya kushiriki katika vikao vya bunge vinavyoendelea jijini Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga pamoja na Mbunge wa Mchinga Mhe. Salma Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Chuo kishirikishi cha elimu Dar es Salaam (DUCE) walipotembelea bungeni kwa lengo la kujifunza hii leo Novemba 10, 2022. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Post a Comment

0 Comments