Rais Samia ateta na Waziri Mkuu wa China jijini Beijing


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na ujumbe aliombatana nao kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu (Premier) wa Jamhuri ya Watu wa China Li Kegiang mara baada ya kuwasili The People Great Hall, Beijing nchini China leo Novemba 3, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu (Premier) wa Jamhuri ya Watu wa China Li Keqiang mara baada ya kuwasili The People Great Hall, Beijing chini China leo Novemba 3, 2022.(Picha na Ikulu).

Post a Comment

0 Comments