TAMKO LA WAKULIMA MKOANI KAGERA

NA MWANDISHI WETU

WAKULIMA wa Mkoa wa Kagera wamemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wanasiasa ambao wamejifanya hawatambui mchango wa Serikali hasa kwenye Sekta ya Kilimo huku wakisema wengine wamekua wasomi kwa sababu wazazi wao waliwezeshwa kwenye kilimo kupitia Serikali;


Post a Comment

0 Comments