Waziri Mkuu ziarani wilayani Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Narungombe akiwa katika ziara Wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Afya Nangurugai akiwa katika ziara wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Afya Nangurugai wilayani Ruangwa, Novemba 18, 2022. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Frank Chonya. (Picha na Ofisi ya Wziri Mkuu).Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanawake ambao walikuwa wakipata huduma za matibabu ya watoto wao katika Kituo cha Afya cha Narungombe wilayani Ruangwa. Alikuwa katika ziara wilayani humo, Novemba 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata malezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya (wa tatu kulia) kuhusu ujenzi wa Kituo cha Afya cha Namgurugai wilayani humo, Novemba 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi, Narungombe wilayani Ruangwa akiwa katika ziara wilayani humo, Novemba 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news