Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Desemba 10, 2022


Mkazi wa Mtaa wa CCM uliopo katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani Geita Mkoa wa Geita,Happiness Yohana (30) amejifungua watoto wanne.Muuguzi wa Wodi ya Wazazi Kituo cha Afya Katoro, Catherine Paul amesema mama huyo alijifungua watoto hao Desemba 7, 2022 kwa njia ya kawaida...


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news