Rais Alhaj Dkt.Mwinyi ajumuika na wananchi,familia katika dua ya kumuombea marehemu Salim Ahmed Salim Bakhressa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi na Wanafamilia ya Bakhressa katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea marehemu Salim Ahmed Salim Bakhressa, iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja na kulia kwa Rais ni Said Salim Bakhressa na baba mzazi wa marehemu Ahmed Salim Bakhressa na kushoto kwa Rais ni Sheikh Mohammed Omar Al Sheikh.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akitoa mkono wa pole kwa baba mzazi wa marehemu Salim Ahmed Bakhressa, Bw.Ahmed Salim Bakhressa na Said Salim Bakhressa, baada ya kumalizika kwa kisoma cha dua na hitma, ya kumuombea marehemu iliyofanyika katika Msikiti wa Ijumaa Mchangani Wilaya ya Mjini Unguja leo.(Picha na Ikulu)

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news