TMA yatoa angalizo la mvua kubwa Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe na Rukwa

NA DIRAMAKINI

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa angalizo la mvua kubwa zinazoweza kuleta madhara zinazotarajiwa kunyesha katika baadhi ya mikoa ya Tanzania.

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetolewa na mamlaka hiyo kuhusu matarajio ya hali ya hewa, imeelezwa kuwa mikoa hiyo ni Ruvuma, Njombe, Iringa, Morogoro, Mbeya, Songwe, Rukwa

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news