Mheshimiwa Mchengerwa akagua Kamati ya Mdundo wa Taifa

NA JOHN MAPEPELE

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo amekagua maendeleo ya Kamati ya Kutafuta Mdundo wa Taifa na kuipongeza kwa hatua iliyofikia huku akiitaka kukamilisha kazi hiyo mara moja ili mdundo wa Tanzania uteke soko la Afrika na Dunia kwa ujumla.

Post a Comment

0 Comments