Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 11, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.57 na kuuzwa kwa shilingi 2320.55 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7513.08 na kuuzwa kwa shilingi 7584.74.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 11, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2796.38 na kuuzwa kwa shilingi 2824.80 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.13 na kuuzwa kwa shilingi 2.18.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.76 na kuuzwa kwa shilingi 222.92 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 134.84 na kuuzwa kwa shilingi 136.16.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2466.90 na kuuzwa kwa shilingi 2492.50.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.59 na kuuzwa kwa shilingi 18.74 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.39 na kuuzwa kwa shilingi 17.57 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 338.87 na kuuzwa kwa shilingi 342.16.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.56 na kuuzwa kwa shilingi 631.78 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.43 na kuuzwa kwa shilingi 148.74.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 11th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.5648 631.7688 628.6668 11-Jan-23
2 ATS 147.4354 148.7418 148.0886 11-Jan-23
3 AUD 1582.3394 1599.091 1590.7152 11-Jan-23
4 BEF 50.2917 50.7368 50.5142 11-Jan-23
5 BIF 2.1998 2.2164 2.2081 11-Jan-23
6 BWP 179.6703 182.1632 180.9167 11-Jan-23
7 CAD 1716.2727 1732.9176 1724.5952 11-Jan-23
8 CHF 2494.6517 2517.9579 2506.3048 11-Jan-23
9 CNY 338.8753 342.1631 340.5192 11-Jan-23
10 CUC 38.3589 43.603 40.9809 11-Jan-23
11 DEM 920.6132 1046.4713 983.5422 11-Jan-23
12 DKK 331.7701 335.0394 333.4048 11-Jan-23
13 DZD 18.1049 18.2139 18.1594 11-Jan-23
14 ESP 12.1933 12.3008 12.247 11-Jan-23
15 EUR 2466.9055 2492.5028 2479.7041 11-Jan-23
16 FIM 341.2104 344.234 342.7222 11-Jan-23
17 FRF 309.2835 312.0193 310.6514 11-Jan-23
18 GBP 2796.3776 2824.8055 2810.5916 11-Jan-23
19 HKD 294.2213 297.1597 295.6905 11-Jan-23
20 INR 28.1211 28.3832 28.2521 11-Jan-23
21 ITL 1.0478 1.057 1.0524 11-Jan-23
22 JPY 17.398 17.5706 17.4843 11-Jan-23
23 KES 18.5888 18.7443 18.6666 11-Jan-23
24 KRW 1.8436 1.8611 1.8524 11-Jan-23
25 KWD 7513.0776 7584.7361 7548.9068 11-Jan-23
26 MWK 2.0793 2.2394 2.1594 11-Jan-23
27 MYR 525.7006 530.4114 528.056 11-Jan-23
28 MZM 35.4018 35.7008 35.5513 11-Jan-23
29 NAD 100.8362 101.6612 101.2487 11-Jan-23
30 NLG 920.6132 928.7773 924.6952 11-Jan-23
31 NOK 231.3887 233.632 232.5104 11-Jan-23
32 NZD 1464.7036 1480.5109 1472.6072 11-Jan-23
33 PKR 9.5699 10.1334 9.8516 11-Jan-23
34 QAR 768.2356 770.857 769.5463 11-Jan-23
35 RWF 2.1284 2.1841 2.1562 11-Jan-23
36 SAR 611.9195 617.94 614.9298 11-Jan-23
37 SDR 3057.6118 3088.1879 3072.8999 11-Jan-23
38 SEK 220.7635 222.9219 221.8427 11-Jan-23
39 SGD 1726.7205 1742.9398 1734.8301 11-Jan-23
40 TRY 122.3683 123.5821 122.9752 11-Jan-23
41 UGX 0.5953 0.6246 0.61 11-Jan-23
42 USD 2297.5743 2320.55 2309.0621 11-Jan-23
43 GOLD 4307377.3391 4351634.593 4329505.9661 11-Jan-23
44 ZAR 134.8373 136.1609 135.4991 11-Jan-23
45 ZMK 122.0174 126.7022 124.3598 11-Jan-23
46 ZWD 0.4299 0.4386 0.4343 11-Jan-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news