Kazi yaanza rasmi Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai, wananchi na wadau wafunguliwa milango

NA MWANDISHI WETU

KWA muda sasa kumekuwa na malalamiko kuhusu wananchi kutoridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya taasisi zinazosimamia haki jinai nchini kuanzia kwenye ukamataji wa mtuhumiwa, upelelezi,utoaji wa dhamana,uendeshaji wa mashtaka,kesi na eneo ambalo aliyehukumiwa anatumikia kifungu chake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai nchini Mhe. Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue pamoja na Katibu wa Sekretarieti ya Tume hiyo Bw. Kailima Ramadhani, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 31 Januari, 2023. (Picha na Ikulu).

Kutokana na hali hiyo,Katibu wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai anatoa mwaliko kwa Wananchi na wadau wote nchini kuwasilisha mapendekezo ya namna ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai.

Kwa maelezo zaidi;

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news