Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 15, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.60 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.20 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2805.79 na kuuzwa kwa shilingi 2834.78 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.16.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 15, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2472.34 na kuuzwa kwa shilingi 2497.25.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 223.12 na kuuzwa kwa shilingi 225.28 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 128.95 na kuuzwa kwa shilingi 130.22.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.39 na kuuzwa kwa shilingi 17.56 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 337.24 na kuuzwa kwa shilingi 340.49.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2298.14 na kuuzwa kwa shilingi 2321.12 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7515.17 na kuuzwa kwa shilingi 7587.84.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.34 na kuuzwa kwa shilingi 18.48 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.70 na kuuzwa kwa shilingi 631.91 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.47 na kuuzwa kwa shilingi 148.78.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today February 15th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.7014 631.9068 628.8041 15-Feb-23
2 ATS 147.4717 148.7783 148.125 15-Feb-23
3 AUD 1604.1008 1620.606 1612.3534 15-Feb-23
4 BEF 50.304 50.7492 50.5266 15-Feb-23
5 BIF 2.2003 2.2169 2.2086 15-Feb-23
6 CAD 1725.3293 1741.9287 1733.629 15-Feb-23
7 CHF 2505.0563 2529.0041 2517.0302 15-Feb-23
8 CNY 337.2424 340.49 338.8662 15-Feb-23
9 DEM 920.8393 1046.7283 983.7838 15-Feb-23
10 DKK 331.8612 335.1314 333.4963 15-Feb-23
11 ESP 12.1962 12.3038 12.25 15-Feb-23
12 EUR 2472.3375 2497.5251 2484.9313 15-Feb-23
13 FIM 341.2942 344.3186 342.8064 15-Feb-23
14 FRF 309.3595 312.0959 310.7277 15-Feb-23
15 GBP 2805.7974 2834.7838 2820.2906 15-Feb-23
16 HKD 292.7715 295.6841 294.2278 15-Feb-23
17 INR 27.7644 28.0234 27.8939 15-Feb-23
18 ITL 1.048 1.0573 1.0527 15-Feb-23
19 JPY 17.3943 17.5643 17.4793 15-Feb-23
20 KES 18.3265 18.4803 18.4034 15-Feb-23
21 KRW 1.8117 1.8289 1.8203 15-Feb-23
22 KWD 7515.1688 7587.8392 7551.504 15-Feb-23
23 MWK 2.0797 2.2399 2.1598 15-Feb-23
24 MYR 528.6724 533.5908 531.1316 15-Feb-23
25 MZM 35.6744 35.9752 35.8248 15-Feb-23
26 NLG 920.8393 929.0054 924.9224 15-Feb-23
27 NOK 227.3854 229.5798 228.4826 15-Feb-23
28 NZD 1458.3987 1474.1433 1466.271 15-Feb-23
29 PKR 8.1769 8.6771 8.427 15-Feb-23
30 RWF 2.0997 2.1581 2.1289 15-Feb-23
31 SAR 612.5266 618.6024 615.5645 15-Feb-23
32 SDR 3079.3104 3110.1036 3094.707 15-Feb-23
33 SEK 223.1181 225.2837 224.2009 15-Feb-23
34 SGD 1732.3524 1749.544 1740.9482 15-Feb-23
35 UGX 0.6036 0.6333 0.6185 15-Feb-23
36 USD 2298.1386 2321.12 2309.6293 15-Feb-23
37 GOLD 4269615.8983 4314078.4297 4291847.164 15-Feb-23
38 ZAR 128.9502 130.2208 129.5855 15-Feb-23
39 ZMW 115.3827 119.8307 117.6067 15-Feb-23
40 ZWD 0.4301 0.4387 0.4344 15-Feb-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news