Benki ya Afrika yakabidhi msaada wa pikipiki Jeshi la PolisiMkuu wa Dawati la Jinsia na watoto Naibu Kamishna wa Polisi DCP Maria Nzuki kwa niaba ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IJP Camillus Wambura, Machi 11, 2023 amepokea pikipiki tano aina ya TVS kutoka kwa Benki ya Afrika (Bank of Africa), ambazo zimetolewa kwa lengo la kusaidia ulinzi na usalama katika kata tano za Wilaya ya Chamwino.


DCP Nzuki ameishukuru Benki ya Afrika kwa msaada huo wa pikipiki uliotolewa na benki hiyo ambapo itasaidia kurahisisha kutoa huduma kwa wananchi na kuzidi kuimarisha usalama wa raia na mali zao.

Post a Comment

0 Comments