Dkt.Mpango atembelea kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu Azerbaijan


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) kilichopo katika Mji wa Baku tarehe 03 Machi 2023. 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku tarehe 3 Machi 2023. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika Mazungumzo na Mkuu wa kituo cha pamoja cha kutolea huduma na ubunifu cha nchi ya Azerbaijan (State Agency for Public Service and Social Innovation) Ulvi Mehdiyev wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo katika Mji wa Baku tarehe 03 Machi 2023.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news