Wanawake Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Ujenzi) waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani


Baadhi ya wafanyakazi wanawake wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Ujenzi) wakiwa katika maandamano kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika kimkoa wilayani Kondoa, Dodoma leo Machi 8,2023.
Kaulimbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa Mwaka huu ni Ubunifu na Mabadiliko ya Teknolojia Chachu katika kuleta Usawa wa Kijinsia.

Post a Comment

0 Comments