Watumishi wanawake BRELA waadhimisha Siku ya Wanawake Duniani


Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw. Godfrey Nyaisa (katikati), akishirikiana na watumishi wa BRELA Bi. Yvone Masele (kushoto) na Bi.Anna Nderingo(kulia), kukata keki Machi 8,2023 ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, katika ofisi za BRELA jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Bw.Godfrey Nyaisa, akiwalisha keki baadhi ya watumishi Wanawake wa Taasisi hiyo ikiwa ni ishara ya kuadhimisha siku ya Wanawake Duniani, katika ofisi za BRELA jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

0 Comments