Dkt.Samia aongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC)

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma tarehe 22, Mei 2023.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi,Daniel Chongolo akizungumza jambo katika kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) katika ukumbi wa NEC White House, CCM Makao Makuu, Dodoma tarehe 22, Mei 2023,Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan.

Post a Comment

0 Comments