Kikao cha kupokea taarifa ya Maandalizi ya Utafiti wa Gharama za Utapiamlo nchini


Baadhi ya wajumbe wakifuatilia kikao hicho.(Picha na OWM).
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Uratibu wa Shughuli za Serikali Ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Paul Sangawe akizungumza wakati wa kikao cha Wakurugenzi wanaosimamia Masuala ya Lishe ,kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Utafiti wa Gharama za Utapiamlo nchini.
Mkuu wa Shughuli za Lishe kutoka UNICEF Bw. Patrick Codjia akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Afisa Elimu Mkuu kutoka Wizara ya Elimu Bw. Joel Mwamasangula akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Afisa Elimu Mkuu kutoka Wizara ya Elimu Bw. Joel Mwamasangula akichangia hoja wakati wa kikao hicho.
Mkurugenzi wa Mipango Taasisi ya Chakula na Lishe Bw. Geofrey Chiduo akifafanua jambo wakati wa kikao cha Wakurugenzi wanaosimamia Masuala ya Lishe kupokea Taarifa ya Maandalizi ya Utafiti wa Gharama za Utapiamlo nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news