Matukio katika picha, Rais Dkt.Samia azindua mkutano muhimu Afrika


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Mei 19, 2023 amezindua rasmi Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu mtaji wa watu katika kuboresha maendeleo ya Afrika utakaofanyika Julai 25-26, 2023, Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.Post a Comment

0 Comments