Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 22, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.64 na kuuzwa kwa shilingi 16.80 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 329.07 na kuuzwa kwa shilingi 332.27.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1535.24 na kuuzwa kwa shilingi 1551.06 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3081.09 na kuuzwa kwa shilingi 3111.89.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1711.21 na kuuzwa kwa shilingi 1727.81 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2556.47 na kuuzwa kwa shilingi 2580.89.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 22, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.76 na kuuzwa kwa shilingi 16.91 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 219.04 na kuuzwa kwa shilingi 221.17 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 118.98 na kuuzwa kwa shilingi 119.57.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2305.17 na kuuzwa kwa shilingi 2328.22 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7504.78 na kuuzwa kwa shilingi 7574.40.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2869.01 na kuuzwa kwa shilingi 2898.63 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.04 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 627.84 na kuuzwa kwa shilingi 633.94 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.92 na kuuzwa kwa shilingi 149.23.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2488.69 na kuuzwa kwa shilingi 2514.52.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 22nd, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 627.8375 633.9433 630.8904 22-May-23
2 ATS 147.9228 149.2334 148.5781 22-May-23
3 AUD 1535.2421 1551.0602 1543.1511 22-May-23
4 BEF 50.4579 50.9045 50.6812 22-May-23
5 BIF 2.2071 2.2237 2.2154 22-May-23
6 CAD 1711.208 1727.807 1719.5075 22-May-23
7 CHF 2556.4692 2580.889 2568.6791 22-May-23
8 CNY 329.0747 332.2705 330.6726 22-May-23
9 DEM 923.656 1049.9301 986.7931 22-May-23
10 DKK 334.5527 337.8491 336.2009 22-May-23
11 ESP 12.2336 12.3415 12.2875 22-May-23
12 EUR 2491.4259 2517.2715 2504.3487 22-May-23
13 FIM 342.3382 345.3718 343.855 22-May-23
14 FRF 310.3058 313.0506 311.6782 22-May-23
15 GBP 2869.0125 2898.6339 2883.8232 22-May-23
16 HKD 294.8954 297.833 296.3642 22-May-23
17 INR 27.8722 28.1384 28.0053 22-May-23
18 ITL 1.0512 1.0605 1.0559 22-May-23
19 JPY 16.6378 16.8006 16.7192 22-May-23
20 KES 16.7649 16.9079 16.8364 22-May-23
21 KRW 1.7417 1.7579 1.7498 22-May-23
22 KWD 7504.7803 7574.4031 7539.5917 22-May-23
23 MWK 2.0923 2.2309 2.1616 22-May-23
24 MYR 508.1941 512.7109 510.4525 22-May-23
25 MZM 35.5188 35.8188 35.6688 22-May-23
26 NLG 923.656 931.8471 927.7516 22-May-23
27 NOK 212.7226 214.7982 213.7604 22-May-23
28 NZD 1447.6457 1463.0535 1455.3496 22-May-23
29 PKR 7.6777 8.1397 7.9087 22-May-23
30 RWF 2.0366 2.093 2.0648 22-May-23
31 SAR 614.7279 620.8421 617.785 22-May-23
32 SDR 3081.088 3111.8988 3096.4934 22-May-23
33 SEK 219.0413 221.1686 220.1049 22-May-23
34 SGD 1713.7524 1730.2468 1721.9996 22-May-23
35 UGX 0.5957 0.625 0.6104 22-May-23
36 USD 2305.1684 2328.22 2316.6942 22-May-23
37 GOLD 4520181.5004 4566337.8856 4543259.693 22-May-23
38 ZAR 118.9831 120.1569 119.57 22-May-23
39 ZMW 119.254 122.2163 120.7352 22-May-23
40 ZWD 0.4313 0.4401 0.4357 22-May-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news