Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 24, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.72 na kuuzwa kwa shilingi 16.86 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 24, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 217.01 na kuuzwa kwa shilingi 219.12 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 119.52 na kuuzwa kwa shilingi 120.69.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2305.96 na kuuzwa kwa shilingi 2329.02 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7503.69 na kuuzwa kwa shilingi 7576.27.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2855.47 na kuuzwa kwa shilingi 2884.26 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.09.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 628.02 na kuuzwa kwa shilingi 634.13 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.97 na kuuzwa kwa shilingi 149.28.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2482.83 na kuuzwa kwa shilingi 2508.12.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.61 na kuuzwa kwa shilingi 16.77 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 326.91 na kuuzwa kwa shilingi 330.08.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1525.16 na kuuzwa kwa shilingi 1540.88 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3042.71 na kuuzwa kwa shilingi 3073.14.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1707.49 na kuuzwa kwa shilingi 1724.05 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2556.21 na kuuzwa kwa shilingi 2580.63.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 24th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 628.0191 634.1265 631.0728 24-May-23
2 ATS 147.9735 149.2847 148.6291 24-May-23
3 AUD 1525.1622 1540.8796 1533.0209 24-May-23
4 BEF 50.4752 50.922 50.6986 24-May-23
5 BIF 2.2078 2.2245 2.2162 24-May-23
6 CAD 1707.4864 1724.0506 1715.7685 24-May-23
7 CHF 2556.2137 2580.6315 2568.4226 24-May-23
8 CNY 326.9103 330.0859 328.4981 24-May-23
9 DEM 923.9734 1050.2909 987.1321 24-May-23
10 DKK 333.4916 336.7972 335.1444 24-May-23
11 ESP 12.2378 12.3457 12.2917 24-May-23
12 EUR 2482.8276 2508.1216 2495.4746 24-May-23
13 FIM 342.4558 345.4904 343.9731 24-May-23
14 FRF 310.4124 313.1582 311.7853 24-May-23
15 GBP 2855.4708 2884.2584 2869.8646 24-May-23
16 HKD 294.2552 297.194 295.7246 24-May-23
17 INR 27.8342 28.105 27.9696 24-May-23
18 ITL 1.0516 1.0609 1.0562 24-May-23
19 JPY 16.6136 16.7785 16.696 24-May-23
20 KES 16.722 16.8647 16.7934 24-May-23
21 KRW 1.7454 1.7618 1.7536 24-May-23
22 KWD 7503.6946 7576.2662 7539.9804 24-May-23
23 MWK 2.0871 2.2435 2.1653 24-May-23
24 MYR 504.918 509.298 507.108 24-May-23
25 MZM 35.5309 35.8311 35.681 24-May-23
26 NLG 923.9734 932.1673 928.0704 24-May-23
27 NOK 210.4996 212.5484 211.524 24-May-23
28 NZD 1438.2275 1452.8427 1445.5351 24-May-23
29 PKR 7.6452 8.1046 7.8749 24-May-23
30 RWF 2.0339 2.0931 2.0635 24-May-23
31 SAR 614.9392 621.0554 617.9973 24-May-23
32 SDR 3042.7147 3073.1419 3057.9283 24-May-23
33 SEK 217.0132 219.1173 218.0653 24-May-23
34 SGD 1710.78 1726.991 1718.8855 24-May-23
35 UGX 0.5943 0.6236 0.6089 24-May-23
36 USD 2305.9604 2329.02 2317.4902 24-May-23
37 GOLD 4515948.3346 4562598.1578 4539273.2462 24-May-23
38 ZAR 119.5207 120.6947 120.1077 24-May-23
39 ZMW 117.2379 120.4188 118.8283 24-May-23
40 ZWD 0.4315 0.4403 0.4359 24-May-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news