Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 2,2023


Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amepiga marufuku watendaji wa vijiji na kata kuendesha michango ya miradi kwa wananchi pasipo kibali cha Mkuu wa Wilaya na watakaoikuka utaratibu watachukuliwa hatua.

RC Shigella ametoa maagizo hayo wakati akizungumuza katika mkutano wa hadhara wa kijiji cha Lulembela, kata ya Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya kupokea malalamiko ya kutoka kwa wananchi.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news