Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 20,2023


Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Rostam Azizi, na Mbunge wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, Prof. Kitila Mkumbo, wamemshukia vikali mmoja wa wanasiasa maarufu nchini kwa kutoa kauli za ubaguzi dhidi ya Wazanzibari kwenye mjadala unaoendelea wa uwekezaji binafsi katika Bandari ya Dar es Salaam na kumshangaa mwanasiasa huyo kwa kuleta siasa za ukaburu kwenye jambo la kiuchumi na kibiashara.


















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news