Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Julai 4,2023


Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam,Ally Kamwe amesema wamepata mwaliko maalumu kutoka nchini Malawi jambo ambalo ni heshima na wanalichukua kwa mikono miwili.Kamwe ameweka wazi kuwa watacheza mchezo maalumu kwenye maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Malawi Julai 6, 2023 ikiwa ni mwaliko maalumu kutoka Malawi hivyo Yanga watakuwepo huko.



















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news