Rais Dkt.Mwinyi ateta na ujumbe kutoka kwa Mfalme Salman

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Julai 24,2023 ambaye ni Kaimu Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe.Fahad Al Harbi (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Ujumbe wake kutoka kwa Mfalme Salman, mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar kushoto kwa Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Kaimu Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe. Fahad Al Harbi, alipofika Ikulu jijini Zanzibar na ujumbe wake kutoka kwa Mfalme Salman (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mhe.Haroun Ali Suleima.(Picha na Ikulu). Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Kaimu Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Mhe. Fahad Al Harbi baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news