Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Julai 19, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2614.29 na kuuzwa kwa shilingi 2641.14.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.82 na kuuzwa kwa shilingi 16.98 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 324.04 na kuuzwa kwa shilingi 327.18.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.44 na kuuzwa kwa shilingi 16.58 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.05 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Julai 19, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1761.47 na kuuzwa kwa shilingi 1778.95 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2710.39 na kuuzwa kwa shilingi 2736.22.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.61 na kuuzwa kwa shilingi 0.64 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.22 na kuuzwa kwa shilingi 2.24.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1582.94 na kuuzwa kwa shilingi 1599.00 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3148.21 na kuuzwa kwa shilingi 3179.69.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 227.29 na kuuzwa kwa shilingi 229.51 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 129.71 na kuuzwa kwa shilingi 130.97.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2324.43 na kuuzwa kwa shilingi 2347.68 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7591.48 na kuuzwa kwa shilingi 7664.89.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3044.54 na kuuzwa kwa shilingi 3075.93 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.97 na kuuzwa kwa shilingi 2.03.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 632.91 na kuuzwa kwa shilingi 639.07 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 149.16 na kuuzwa kwa shilingi 150.48.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today July 19th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 632.9128 639.0679 635.9904 19-Jul-23
2 ATS 149.1591 150.4807 149.8199 19-Jul-23
3 AUD 1582.9407 1599.0048 1590.9728 19-Jul-23
4 BEF 50.8796 51.33 51.1048 19-Jul-23
5 BIF 2.2255 2.2423 2.2339 19-Jul-23
6 BWP 176.8896 179.8323 178.3609 19-Jul-23
7 CAD 1761.4699 1778.9498 1770.2098 19-Jul-23
8 CHF 2710.396 2736.2238 2723.3099 19-Jul-23
9 CNY 324.0399 327.1845 325.6122 19-Jul-23
10 CUC 38.8073 44.1127 41.46 19-Jul-23
11 DEM 931.3762 1058.7057 995.041 19-Jul-23
12 DKK 350.9377 354.3935 352.6656 19-Jul-23
13 DZD 19.5056 19.6196 19.5626 19-Jul-23
14 ESP 12.3358 12.4446 12.3902 19-Jul-23
15 EUR 2614.2928 2641.14 2627.7164 19-Jul-23
16 FIM 345.1995 348.2585 346.729 19-Jul-23
17 FRF 312.8994 315.6672 314.2833 19-Jul-23
18 GBP 3044.5458 3075.9303 3060.2381 19-Jul-23
19 HKD 297.5773 300.5338 299.0555 19-Jul-23
20 INR 28.3324 28.6105 28.4715 19-Jul-23
21 IQD 0.239 0.2408 0.2399 19-Jul-23
22 IRR 0.0082 0.0083 0.0083 19-Jul-23
23 ITL 1.06 1.0694 1.0647 19-Jul-23
24 JPY 16.8169 16.9814 16.8992 19-Jul-23
25 KES 16.4387 16.5797 16.5092 19-Jul-23
26 KRW 1.8429 1.8607 1.8518 19-Jul-23
27 KWD 7591.4812 7664.8927 7628.187 19-Jul-23
28 MWK 2.0544 2.2061 2.1302 19-Jul-23
29 MYR 511.9902 516.5413 514.2657 19-Jul-23
30 MZM 36.0434 36.3474 36.1954 19-Jul-23
31 NAD 98.31 99.2302 98.7701 19-Jul-23
32 NLG 931.3762 939.6358 935.506 19-Jul-23
33 NOK 230.8759 233.0944 231.9851 19-Jul-23
34 NZD 1459.978 1475.5169 1467.7475 19-Jul-23
35 PKR 7.8322 8.2939 8.0631 19-Jul-23
36 QAR 836.4137 843.5526 839.9832 19-Jul-23
37 RWF 1.969 2.0261 1.9976 19-Jul-23
38 SAR 619.6182 625.781 622.6996 19-Jul-23
39 SDR 3148.2156 3179.6978 3163.9567 19-Jul-23
40 SEK 227.2953 229.5122 228.4037 19-Jul-23
41 SGD 1760.0028 1776.9301 1768.4664 19-Jul-23
42 TRY 86.2051 87.0543 86.6297 19-Jul-23
43 UGX 0.6096 0.6396 0.6246 19-Jul-23
44 USD 2324.4356 2347.68 2336.0578 19-Jul-23
45 GOLD 4567492.7952 4614130.272 4590811.5336 19-Jul-23
46 ZAR 129.7067 130.9753 130.341 19-Jul-23
47 ZMK 119.2964 123.8881 121.5923 19-Jul-23
48 ZWD 0.435 0.4438 0.4394 19-Jul-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news