Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Septemba 4, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1583.98 na kuuzwa kwa shilingi 1600.32 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3240.33 na kuuzwa kwa shilingi 3272.74.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Septemba 4, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 222.84 na kuuzwa kwa shilingi 224.99 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 130.29 na kuuzwa kwa shilingi 131.56.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 663.38 na kuuzwa kwa shilingi 669.96 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 156.35 na kuuzwa kwa shilingi 157.74.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3092.19 na kuuzwa kwa shilingi 3124.09 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.03 na kuuzwa kwa shilingi 2.08.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.45 na kuuzwa kwa shilingi 0.46 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2646.31 na kuuzwa kwa shilingi 2673.02.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.84 na kuuzwa kwa shilingi 17.00 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 336.26 na kuuzwa kwa shilingi 339.46.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.74 na kuuzwa kwa shilingi 16.88 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.11 na kuuzwa kwa shilingi 2.29.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1798.31 na kuuzwa kwa shilingi 1815.62 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2765.63 na kuuzwa kwa shilingi 2792.02.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2436.52 na kuuzwa kwa shilingi 2460.89 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7912.34 na kuuzwa kwa shilingi 7986.27.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today September 4th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 663.379 669.958 666.6685 04-Sep-23
2 ATS 156.3518 157.7372 157.0445 04-Sep-23
3 AUD 1583.9847 1600.3168 1592.1508 04-Sep-23
4 BEF 53.3332 53.8052 53.5692 04-Sep-23
5 BIF 0.8568 0.8646 0.8607 04-Sep-23
6 CAD 1798.306 1815.619 1806.9625 04-Sep-23
7 CHF 2765.6354 2792.024 2778.8297 04-Sep-23
8 CNY 336.2579 339.4659 337.8619 04-Sep-23
9 DEM 976.2891 1109.7587 1043.0239 04-Sep-23
10 DKK 355.0854 358.6048 356.8451 04-Sep-23
11 ESP 12.9307 13.0447 12.9877 04-Sep-23
12 EUR 2646.3095 2673.0187 2659.6641 04-Sep-23
13 FIM 361.8458 365.0522 363.449 04-Sep-23
14 FRF 327.9881 330.8893 329.4387 04-Sep-23
15 GBP 3092.1936 3124.0998 3108.1467 04-Sep-23
16 HKD 310.6148 313.717 312.1659 04-Sep-23
17 INR 29.4753 29.7639 29.6196 04-Sep-23
18 ITL 1.1111 1.121 1.1161 04-Sep-23
19 JPY 16.8408 17.0057 16.9232 04-Sep-23
20 KES 16.7401 16.8843 16.8122 04-Sep-23
21 KRW 1.8566 1.8726 1.8646 04-Sep-23
22 KWD 7912.336 7986.2724 7949.3042 04-Sep-23
23 MWK 2.1068 2.2914 2.1991 04-Sep-23
24 MYR 524.5479 529.2237 526.8858 04-Sep-23
25 MZM 37.8754 38.1948 38.0351 04-Sep-23
26 NLG 976.2891 984.947 980.618 04-Sep-23
27 NOK 230.6747 232.9175 231.7961 04-Sep-23
28 NZD 1460.6966 1475.7958 1468.2462 04-Sep-23
29 PKR 7.5767 8.0159 7.7963 04-Sep-23
30 RWF 2.0327 2.0825 2.0576 04-Sep-23
31 SAR 649.6533 656.0973 652.8753 04-Sep-23
32 SDR 3240.3342 3272.7376 3256.5359 04-Sep-23
33 SEK 222.8434 224.9957 223.9195 04-Sep-23
34 SGD 1807.1088 1824.5032 1815.806 04-Sep-23
35 UGX 0.6298 0.6608 0.6453 04-Sep-23
36 USD 2436.5248 2460.89 2448.7074 04-Sep-23
37 GOLD 4751442.5546 4799719.856 4775581.2053 04-Sep-23
38 ZAR 130.2948 131.5646 130.9297 04-Sep-23
39 ZMW 117.0014 121.5254 119.2634 04-Sep-23
40 ZWD 0.456 0.4652 0.4606 04-Sep-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news