MSD Queens yainyuka RAS Iringa vikapu 31-17

IRINGA-Timu ya Wanawake ya MSD (MSD Queens) imeendelea kutamba katika michuano ya SHIMIWI baada ya leo kuinyuka Ras Iringa jumla ya vikapu 31 kwa 17.

Ushindi huu umekuja ukiwa ni muendelezo wa wimbi la ushindi kwa timu hii, baada ya hapo jana, kuinyuka timu ya Haki kutoka Tume ya Haki za Binadamu, kwa ushindi wa jumla ya vikapu 29 kwa 8.

Timu mbalimbali ziko mkoani Iringa kwa ajili ya kushiriki Mashindano ya SHIMIWI kwa mwaka huu 203/2024.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news