Rais Dkt.Mwinyi aendelea kufanya makubwa Zanzibar

Muonekano wa picha za majengo ya Mradi wa ujenzi wa mabanda ya maonesho Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe,Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa (kushoto kwa Rais) na viongozi mbalimbali alipowasili katika eneo la Mradi wa Ujenzi wa Mabanda ya Maonesho Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kukagua maendeleo ya ujenzi huo Oktoba 29, 2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar,Rashid Ali Salim akitoa maelezo ya michoro ya majengo ya mabanda ya maonesho yanayojengwa katika eneo la Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, alipofanya ziara ya kutembelea Mradi huo na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt..Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutoa maagizo kwa viongozi wasimamizi wa Mradi wa ujenzi wa Mabanda ya Maonesho Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja baada kutembelea mradi huo na kulia kwa Rais ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU), Kanali Makame Abdalla Daima .(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisisitiza jambo baada ya kupokea taarifa za Ujenzi wa Mradi wa Mabanda ya maonesho yanayojengwa katika eneo la Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, akiwa katika ziara yake kukagua ujenzi wa mradi huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar,Rashid Ali Salim, wakati akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Mabanda ya Maonesho Nyamanzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news